WENGI WALIOKUWA MACHO MIAKA YA TISINI NA.. WATAKUWA WANAMKUMBUKA VIZURI STAR HUYU WA MOVIE MAARUFU YA SARAFINA
ALIZAWA KATIKA MJI WA KWA MASHU HUKO DURBAN AFRICA YA KUSINI MWAKA 1970
BADO ANASHIRIKI KATIKA TAMTHILIA MBALIMBALI ZA HUKO AFRICA YA KUSINI
MIONGONI MWA FILAMU MAARUFU ALIZOCHEZA NI:-
VOICES OF SARAFINA 1988 ()
SARAFINA 1992 (SARAFINA)
CRY THE BELOVED COUNTRY 1994 (LELETI KHUMALO, KETIE)
YESTERDAY 2004 (YESTERDAY)
HOTEL RWANDA 2004 (FEDENS)
FAITH CORNER 2005 (FAITH)
INVICTUS 2009 (MARY)
PIA NI MWANAMUZKI NA ALIACHIA ALBAMU YAKE YA KWANZA ILIYOITWA LELETI AND SARAFINA MWAKA 1998